Habari Njema Kwa Wapenzi,Wanachama Na Mashabiki Wa Simba Sc

Image result for simba fc picha
Winga machachali wa klabu ya Simba Sc Shiza Ramadhan Kichuya ameanza mazoezi chini ya uangalizi wa Daktari wa timu Dr. Yassin Gembe.

Kichuya ambae alipata majeraha juma lilolopita katika mchezo uliozikutanisha klabu za Mbao na Simba amerejea Dimbani.

Hata hivyo Kichuya aliumia mda mchache baada ya kuifungia klabu yake goli la kwanza na kuiweka kifua mbele.Kurejea kwake dimbani mpendwa msomaji wa vyankende.com huenda kukafunga vivywa vya wale waliokua wakizusha kua huenda akachelewa kurejea dimbani.


Ili kupata updates kamili kuhusu habari hii na nyinginezo nyingi Download app yetu HAPA bure kufurahia habari kali za michezo kila siku,pia usisite kututumia maoni yako.

No comments: