Video: Z anto aachia rasmi video ya wimbo mpya ‘Kacheze Unapochezaga’

Msanii mkongwe wa muziki, Z Anto ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kacheze Unapochezaga’ chini ya label yake mpya ya ‘Lavi Davi Entertainment’. Video hiyo imeandaliwa na director Msafiri kutoka Kwetu Studio.


No comments: