Video: NEC yatangaza uchaguzi mdogo wa madiwani


Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yatangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 Tanzania bara, Uchaguzi utafanyika tarehe 26 Novemba, mwaka huu.

No comments: