Mrembo Tunda ambaye ni 'video vixen', amefunguka kuhusu tetesi zilizopo kwamba nyumba anayomiliki imetokana na kufanya biashara ya dawa ya kulevya, na kusema hizo taarifa hazina ukweli wowote juu ya madai hayo.
Akipiga stori na Big Chawa kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio, Tunda amekiri kumiliki mjengo huo na kusema siyo kweli kwamba nyumba hiyo imetokana na kuuza dawa za kulevya.
No comments: