Taarifa kwa mashabiki wa Yanga mda huu


Klabu Ya Yanga Leo inatarajiwa kushuka dimbani kumenyana na Klabu ya KMC ya jijini Dar es salaam katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa katika dimba la Azam Complex.
Mchezo huo wa kujipima uwezo mpenzi msomaji wa vyankende.com unatarajiwa kuanza kutimua vumbi majira ya saa moja za jioni.
Kwa mujibu wa maelezo ya Mwalimu wa kikosi cha Yanga mchezo wa leo utatumika kuwapatia nafasi wachezaji ambao wamekua wakikosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza ili nao waweze kuonyeshe uwezo wao.

No comments: