Simba mpaka Sasa anaongoza kwa goli moja kwa mtungi goli lililofungwa na Shiza Kichuya dakika ya 17' na mpira unaendelea
Na goli hilo ni goli la Pili kwa Shiza kichuya kwenye ligi kuu Tanzania..
Kipindi Cha kwanza kimetamatika kwa Simba kuibuka kifua mbele ugenini.
Goooo Laudit Mavugo anaifungia Simba goli la pili dakika ya kwanza ya Kipindi cha pilu.
Goooooooo Stand United wamerejesha goli moja sasa Stand United 1-2Simba..
Mpira umemalizika kwa simba kuibuka kidedea kwa ushindi wa goli 2-1
Ili kupata updates kamili kuhusu habari hii na nyinginezo nyingi Download app yetu HAPA bure kufurahia habari kali za michezo kila siku,pia usisite kututumia maoni yako.
No comments: