Haji Manara Asiambiwe kitu tazama kashifa zake


Unaambiwa usiombe Haji Manara akapata chochote kinachoendelea Yanga. Hebu tuitazame hii, Jana October 03 kupitia mitandao ya kijamii hususani WhatsApp ulisambaa ujumbe kutoka katika klabu ya Yanga kuelekea kwa admins wote wa magroup ya Yanga huku ukiomba mchango wa kuiunga mkono klabu yao hiyo.
Ujumbe huo ulikua ukisomeka kama ifuatavyo:..

Baada ya ujumbe huo kumfikia Manara nae akawa na yake ya kuzungumzia na mchango wake ambapo kupita ujurasa wake wa Instagram amewahimiza wapenzi na wanachama wa Simba kuichangia Yanga na huu ndio ujumbe aliouandika Manara: "Nawasihi sana Under line,,tuwachangie wenzetu,,Swaumu ishachukua nafasi yake kwa Makwala!!c mnajua wana miezi Tshabalala hawajalipana mishahara?"


No comments: