Azikwa na Utajiri wake...


Charles Obong, mwenye umri wa miaka 52 amezikwa na pesa kwa imani kwamba ataenda moja kwa moja peponi.ndugu wanasema charles akumjua MUNGU ivyo basi kazikwa na pesa ili asamehewe dhambi zake na kwenda peponi. 

No comments: