Kikosi cha Yanga, kimeshindwa kufanya mazoezi leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Pamoja
na wachezaji kujitokeza mazoezini, lakini walikusanyika pamoja na
kufanya mazungumzo na baada ya hapo kila mtu akachukua hamsini zake.
Kwa waliokuwa mazoezini, hakuna aliyetaka kulizungumzia suala hilo, kwamba kwa nini hawakufanya mazoezi.
Badala yake, wachezaji walionekana ni wakali hata kupigwa picha tu.
No comments: