Mrembo Agness amemkana muigizaji wa ‘Siri ya Mtungi’ Duma kwa kudai hawana mahusiano ya kimapenzi na bali ni marafiki.
Akiongea na Bongo5, mrembo huyo amedai kuwa wao ni marafiki wakaribu na ila ni mwanaume mwenye vigezo vya kuwa naye.
“Am not sio wapenzi ni marafiki tu wakawaida na zile voice notice ni mimi kweli ila ilikuwa utani,” amesema mrembo huyo amabye amekuwa akiweka picha zake za utupu katika mtandao wa Instagram.
Pia akaongeza kuwa Duma ni mwanaume hivyo anaweza akawa naye katika mahusiano ya kimapenzi.
No comments: