Jokate aandika haya kuhusu ngoma mpya ya Diamond
Jitihada huzaa matunda – Ni miongoni mwa misemo ambayo ilikuwa ikizungumzwa na wahenga.

Diamond anaweza kwa sasa akawa anafungua chupa za Champagne kutokana na mafanikio ya masaa machache ambayo yameanza kuonekana kupitia wimbo wake mpya ‘Hallelujah’ ambao amewashirikisha Morgan Heritage kutoka jamaica.

Kupitia mtandao wa instagram, Jokate ameweka picha ya kava ya wimbo huo na kuandika, “Another day. Another
. Another Hit Song Movie from Chibu Dee Baba Dullah @diamondplatnumz @wcb_wasafi ft @morganheritage #Hallelujah.” Mpaka sasa wimbo huo umeshatazamwa zaidi ya mara laki nane kwenye mtandao wa YouTube ikiwa ni takribani masaa 20 yamepita tangu ulipoachiwa.

No comments: