Mchezaji wa zamani wa Timu ya OKC Thunder ya ligi kuu ya Marekani (NBA) Mtanzania Hasheem Thabit kwa sasa amejiunga na Timu ya Yokohama B Corsairs ya Ligi kuu ya kikapu ya Japan, kwa dau ambalo mpaka sasa halijawekwa wazi, na tayari Thabit amekabidhiwa Jezi yenye namba 34 katika timu hiyo.
Ligi ya kikapu ya Japan B-League inatarajiwa kuanza kesho ijumaa wiki hii, na Hashee yupo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili.
No comments: