Habari Njema Kutoka Singida United Asubuhi Ya Leo Sept 27.2017

download%2B%25282%2529
Baada ya kukamilika kwa uwanja "Namfua Stadium", klabu ya Singida united sasa itaacha kuutumia uwanja wa Jamhuri Dodoma na kurejea mjini Singida katika Uwanja wake wa awali.


Klabu hiyo imethibitisha kurejea katika mji wa Singida na kuacha kuutumia uwanja wa Jumhuri mjini Dodoma, ambapo klabu hiyo itaanza kuutumia uwanja huo katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga sc.

Mmoja wa viongozi wa klabu hiyo amethibitisha hilo alivyokua akiongea nami huku akinisisitizia kua ukweli kamili utakua katika akaunti ya klabu hiyo ya twitter.

Kiongozi huyo alisema" Uwanja wa Namfua Stadium,Nyumbani tutaanza kuutumia dhidi ya Yanga.Mchezo huo utapigwa Nivember 04 mwaka huu.

No comments: