50 Cent aelezea alivyokataa Dola Laki Tano za Donald Trump ili kutokea kwenye kampeni Zake
Labels:
Habari
Rapa na mfanya biashara maarufu 50 Cent amefunguka jinsi alivyokataa kulipwa dola laki tano ‘$500,000’ na Donald Trump ili kutokea kwenye kampeni zake.
Kwenye kipindi cha radio cha Hot 97 na Ebro Mjini New York 50 Cent alihojiwa nakusema >>“Kabla hajachaguliwa walikuwa na tatizo la kushawishi Wamarekani Weusi kuwapigia kura, Alitaka kunilipa dola Laki Tano ili nitokee tu kwenye Kampeni yake, nilisema HAPANA HII SIO PESA NZURI”
50 Cent alisema >Nah, that’s not good money
No comments: