Habari za hivi punde Dr.harrison Mwakyembe atoa agizo kwa TFF



Waziri wa Habari,utamaduni,Sanaa na michezo DKT.harrison Mwakyembe amesema amechukizwa na kitendo cha timu ya Tanzania ya mpira wa miguu ya wanawake chini ya miaka 20 kubamizwa mabao 9-0 na timu ya Nigeria katika mechi zote mbili.
Waziri Mwakyembe ameiagiza TFF kuanzisha Ligi ya mpira wa miguu ya wanawake mapema mwaka ujao.
Ili kuandaa timu bora itakayoshiriki katika mashindano ya kimataifa na kuitoa Tanzania kimasomaso.

No comments: