Msanii na muigizaji kutoka Marekani Selena Gomez ameanza kumpa wasiwasi mpenzi wake The Weeknd baada ya picha zake akiwa katika utngenezaji wa filamu kunaswa.
Picha hizo zilimemuonyesha mrembo huyo aliwa katika ulimwengu wa mahaba na kijana Timothee Chalamet, ambaye ni muigiza tamthilia kama ‘Homeland’ pamoja na filamu ya ‘Interstellar’. Scene hiyo imetengenezwa hapo jana na Big Apple .

No comments: